MKASIWA: Mwanamke wa Kipekee Kwenye Uongozi wa Unyanyembe
MKASIWA: Mwanamke wa Kipekee Kwenye Uongozi wa Unyanyembe Katika historia ya Tabora na himaya ya Unyanyembe, jina la Mtemi Isike Mwanakiy…
Kwetu – Ushirikiano Wetu, Nguvu Yetu.” Kwa pamoja tunaweza kuinua jamii yetu. Kila mchango, mdogo au mkubwa, ni nguzo ya maendeleo.
Kwetu ni nyumba ya kila mmoja wetu. Tunapoungana, tunajenga msingi imara wa maendeleo ya Tabora na Tanzania kwa ujumla. Kauli yetu ‘Elimika Chukua Hatua, si maneno tu, bali ni mwaliko wa vitendo – kushirikiana, kusaidiana na kuchukua hatua. Nawaalika wadau wote kuendelea kushirikiana nasi ili tuzalishe mabadiliko chanya kwa vijana, jamii na taifa letu.” ✍️ Mkurugenzi, Kwetu
Ni shangwe tupu ukiwa na KwetuApp
Ni Haki ya Kila Mtu kupewa heshima na zawadi
Jamii ni yetu pia ni wa jibu wetu kulinda na kuwaelekeza watoto njia inayofaa kwao
Ujasiriamali ni jambo muhimu sana katika mustakabali wa jamii yetu. Ni vyema watu wa jifunze ujasiriamali
Tunaitumiaje mitandao ya kijamii kwa manufaa yetu na vizazi vyetu
Nijambo jema sana kutoa pongezi kwa wale wote wanao jituma katika shughuli zao halali za kila siku
Umoja na Mshikimamo ndio nguzo sahihi ya maendeleo ya jamii yetu
Vijijini si nyuma kimaendeleo, bali ni chimbuko la fursa. Tabora imebarikiwa ardhi yenye rutuba na nafasi kubwa ya kilimo, ufugaji na biashara. Kupitia Kwetu, tunayaona vijiji kama kitovu cha maendeleo na mabadiliko chanya.
"Makazi bora vijijini ni nguzo ya maisha yenye heshima na maendeleo. Kupitia Kwetu, tunahamasisha vijana na jamii ya Tabora kuboresha mazingira ya vijiji vyetu – kujenga kwa ubunifu, kutumia rasilimali zilizopo, na kuishi katika makazi safi na salama.
Makala mbali mbali kama Tamaduni Biashara Sanaa Michezo Stadi za Maisha Historia. Zitakazo kujenga zaidi
MKASIWA: Mwanamke wa Kipekee Kwenye Uongozi wa Unyanyembe Katika historia ya Tabora na himaya ya Unyanyembe, jina la Mtemi Isike Mwanakiy…
FURSA YA UFUGAJI NYUKI MKOANI TABORA Mkoa wa Tabora ni moja ya maeneo makubwa yenye misitu mikubwa na asilia hapa Tanzania. Misitu hii im…
Tabora: Mji Wenye Utajiri wa Chakula na Fursa za Ukuaji Tabora ni mji wenye mandhari nzuri na wenye nafasi kubwa ya kustawi kiuchumi. Hat…
.
!doctype>Miradi Ya Vijana
Simulizi za mafanikio
Watembeleaji wetu