Hapa tunakusanya na kuchapisha hadithi halisi za vijana kutoka Tabora na maeneo mengine waliopambana na changamoto mbalimbali hadi kufikia mafanikio. Lengo ni kuhamasisha, kuelimisha na kuonyesha kuwa kila mtu anaweza kubadili maisha yake kupitia bidii, maarifa na uvumilivu.
×